afutiwa mashtaka

MHE.MCHENGERWA-TANZANIA NA CHINA KUFUFUA UHUSIANO KWENYE MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI - MALUNDE 1 BLOG - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

****************

Na. John Mapepele

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Tanzania inakwenda kufufua mpango wa miaka mitatu wa maendeleo ya Sekta za utamaduni, sanaa na michezo ulioingiwa na Serikali ya China.

Akizungumza Februari 4, 2022 jijini Dar es Salaam na Balozi wa China nchini Mhe. Chen Mingjian katika kikao maalum kwenye sherehe za uzinduzi wa michezo ya msimu wa baridi ya Olympic 2022 amesema tayari wizara yake imeandaa andiko kwa ajili ya mpango huo litakalowasilishwa hivi karibuni.

Katika kikao hicho Mhe. Waziri aliambatana na Katibu Mkuu wake, Dkt. Hassan Abbasi

“Tunatarajia kuwasilisha mpango wetu ambao tutaingia makubaliano ili utekelezaji wake uanze mara moja” amefafanua Mhe. Mchengerwa

Kwa upande wake Balozi Chen amesema ni wakati mwafaka wa kufufua na kuendeleza sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo ili kuinua uchumi wa nchi zote baada ya kushuka kutokana na ugonjwa wa Uviko 19.

Amesema Serikali yake itaendelea kuisaidia Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu kupitia mafunzo mbalimbali.

“Awali watu wetu walikuwa wanapata fursa ya kuja Tanzania na watanzania kwenda China lakini kutokana uviko tulishindwa sasa ugonjwa umepita. Tunajipanga tuinue sekta zetu kwa pamoja” ameongeza Mhe. Balozi Chen

Amempongeza Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa msimamo wake wa kuendelea kuenzi na kuendeleza uhusiano mzuri uliojengwa na viongozi waasisi wa mataifa haya mawili kwa muda mrefu.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/mhe-mchengerwa-tanzania-na-china-kufufua-uhusiano-kwenye-michezo-sanaa-na-utamaduni-malunde-1-blog-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment