bilioni

Makumbusho ya Taifa yapatiwa Sh2.4 bilioni kutekeleza miradi 15 - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Makumbusho ya Taifa imepatiwa Sh2.4 bilioni fedha za Miradi ya ustawi wa nchi na mapambano dhidi ya Uviko-19 ili iweze kutekeleza miradi 15 katika vituo sita kikiwemo cha Azimio la Arusha jijini humo.

Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dk Noel Lwoga alipo kuwa akifunga rasmi maadhimisho ya miaka 55 ya Azimio la Arusha Jijini Arusha, sanjari na kuzindua mradi mkubwa wa maboresho ya kituo cha Makumbusho ya Azimio la Arusha na Makumbusho ya Elimu Viumbe

“Makumbusho ya Taifa ni moja ya Taasisi iliyoathirika sana kimapato kutokana na ugonjwa wa korona ambapo kumekuwa na upungufu mkubwa wa watalii wa ndani na nje ya nchi na kuathiri mapato ya Taasisi hii.

“Tunamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupitia viongozi wa Wizara yetu ya Maliasili na Utalii kwa kuipatia fedha Makumbusho ya Taifa kwa ajili ya kutekeleza miradi katika vituo sita” amesema Dk Lwoga.

Dk Lwoga ameuagiza uongozi wa vituo vyote vya Makumbusho ya Taifa kuhakikisha wanaongeza kasi ya ubunifu wa program zitakazo toa fursa kwa wananchi kujipatia elimu ya kutosha juu ya urithi wa kiutamaduni uliohifadhiwa na Taasisi hiyo.

Naye, Mkurugenzi wa Makumbusho ya Azimio la Arusha, Dk Gwakisa Kamatula ameelezea umuhimu wa utekelezaji wa miradi hiyo kuwa itasaidia kuvutia idadi kubwa ya watalii wa ndani na nje ya nchi pamoja na kuongezeka kwa mapato ya taasisi na Taifa

logoblog

Thanks for reading Makumbusho ya Taifa yapatiwa Sh2.4 bilioni kutekeleza miradi 15






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/makumbusho-ya-taifa-yapatiwa-sh2-4-bilioni-kutekeleza-miradi-15-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment