Amefariki

Majonzi..Aliyeanguka Kisimani Wakati Anacheza Nchini Morocco Amefariki Dunia. - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Mvulana, 5, Rayan, aliyeanguka kisimani wakati anacheza katika mji wa Tamorot nchini Morocco amefariki dunia.

Taarifa ilitolewa pindi baada ya Rayan kutolewa kwenye kisima cha mita 32 (futi 104) alipokuwepo kwa siku nne.

Baba yake Rayan alikuwa akitengeneza kisima hicho kabla mtoto wake kutumbukia ndani.

Shughuli za uokoaji zilikuwa zikiongozwa na Mkurugenzi wa Ulinzi nchini Morocco. Mfalme wa Morocco Mohammed VI amewasiliana na wazazi wa mtoto huyo moja kwa moja na kutoa risala za rambirambi.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/majonzi-aliyeanguka-kisimani-wakati-anacheza-nchini-morocco-amefariki-dunia-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment