habari

Mahakama ya Myanmar yaahirisha vikao vya kesi ya Suu Kyi - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Mahakama nchini Myanmar imeahirisha vikao viwili vya ya kesi ya Aung San Suu Kyi, baada ya vyombo vya habari kuripoti kuwa kiongozi huyo aliyeondolewa madarakani hajisikii vizuri. 

Suu Kyi alitarajiwa kufika mahakamani jana na leo kwa ajili ya kusikilizwa kesi ya mashitaka ya rushwa yanayohusiana na kukodisha na kununua helikopta wakati akiwa madarakani. 

Radio Free Asia RFA inayofadhiliwa na Marekani imeripoti kuwa Suu Kyi aliruhusiwa kutohudhuria vikao hivyo kufuatia ombi la daktari wake kwa sababu hakuwa anajisikia vizuri. Imesema kikao kijacho ni Februari 10. 

Duru za mahakama hata hivyo hazijathibitisha ripoti kuhusu afya ya kiongozi huyo wala tarehe ya kikao kinachofuata cha kesi yake. Mshindi huyo wa tuzo ya amani ya NOBEL mwenye umri wa miaka 76, anakabiliwa na zaidi ya mashitaka 12 ambayo kwa pamoja ya adhabu ya kifungo cha zaidi ya miaka 150 jela.

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/mahakama-ya-myanmar-yaahirisha-vikao-vya-kesi-ya-suu-kyi-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment