Brazili

Maandamano yafanyika Brazili kulalamika kuhusu mauaji ya mkibizi wa Congo - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Mamia ya waandamanaji jana walifanya maandamano katika miji ya Rio de Janeiro, Sao Paulo na miji mingine nchini Brazil kulalamika kuhusu mauaji ya mkimbizi mmoja wa Congo Moise Mugenyi Kabagambe wa umri wa miaka 24 aliyepigwa hadi kufa mnamo Januari 24, kisa kilichozua hasira na chuki kote nchini humo.

Mjini Rio, walikusanyika nje ya kibanda kimoja katika ufuo wa bahari ambapo Kabagambe alikuwa akifanya kazi hivi karibuni huko Barra da Tijuca, kitongoji kinachojulikana kwa nyumba za kifahari na maduka makubwa. 

Picha za kamera za siri zilizotolewa na polisi kwa vyombo vya habari, zinaonesha wanaume watatu ambao ni washambuliaji wa Kabagambe wakimshambulia kwa muda wa dakika 13 huku wakimshikilia na kumuangusha chini kisha kumpiga kwa fimbo na kuendelea kufanya hivyo hata baada ya kupoteza fahamu. 

Wakili Rodrigo Mondengo wa chama cha wanasheria huko Rio, amesema wakati wa tukio hilo, hakuna hata mtu mmoja aliyewaita polisi ama kujaribu kuwatenganisha. Mondengo ameongeza kuwa hawana shaka kwamba kama ingekuwa ni mzungu anapigwa, angepata usaidizi.

logoblog

Thanks for reading Maandamano yafanyika Brazili kulalamika kuhusu mauaji ya mkibizi wa Congo






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/maandamano-yafanyika-brazili-kulalamika-kuhusu-mauaji-ya-mkibizi-wa-congo-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment