Burudani

Maaadhimisho ya miaka 45 ya CCM mkoani Mara leo. - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wanachama wa Chama hicho pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Musoma katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 45 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM yaliyofanyika katika Uwanja wa Karume, Musoma Mkoani Mara leo tarehe 05 Februari, 2022.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Kadi yake namba 1 ya Kieletroniki ya Chama Cha Mapinduzi CCM kutoka kwa Katibu wa Chama hicho Ndugu Daniel Chongolo mara baada ya kuzindua Rasmi zoezi la ugawaji wa Kadi hizo katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 45 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM yaliyofanyika katika Uwanja wa Karume, Musoma Mkoani Mara leo tarehe 05 Februari, 2022.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Kadi ya Kieletroniki Balozi wa CCM Paul Masinde kutoka Musoma Vijijini mara baada ya kuzindua zoezi hilo la Kadi.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kwenye Kompyuta kuzindua Rasmi Kadi za Kieletroniki za Chama cha Mapinduzi CCM katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 45 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi CCM yaliyofanyika katika Uwanja wa Karume, Musoma Mkoani Mara leo tarehe 05 Februari, 2022.






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/maaadhimisho-ya-miaka-45-ya-ccm-mkoani-mara-leo-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment