Ataka

Katibu mkuu wa UN ataka China kuruhusu maafisa wa haki za binaadamu kuzuru Xinjiang - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewaambia viongozi wa China kuwa anatumai watamruhusu mkuu wa ofisi ya haki za binadamu ya Umoja huo Michelle Bachelet kuzuru jimbo la Xinjiang. 

Guterres amesema hayo alipokutana na Rais Xi Jinping wa China na waziri wa mambo ya nje Wang Yi pembezoni mwa michezo ya Olimpiki mjini Beijing. 

Amesema anatumaini mawasiliano kati ya ofisi ya Kamishna wa Haki za Binadamu na serikali ya China, yataruhusu ziara ‘yenye kuaminika’ ya kamishna huyo nchini China ikiwa ni pamoja na jimbo hilo.”

Watetezi wa haki za binadamu wanasema watu wasiopungua milioni moja wa jamii ya Waislamu walio wachache wamelazimishwa kuishi katika ”kambi za mafunzo” jimboni Xinjiang na kuituhumu China kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

logoblog

Thanks for reading Katibu mkuu wa UN ataka China kuruhusu maafisa wa haki za binaadamu kuzuru Xinjiang






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/katibu-mkuu-wa-un-ataka-china-kuruhusu-maafisa-wa-haki-za-binaadamu-kuzuru-xinjiang-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment