Bashe

Kampeni Kilimo Biashara Ina Tija - Bashe - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo ya makamanda wa Polisi wa mikoa kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo.

Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Februari 3, 2022 na msemaji wa jeshi hilo, David Misime imeeleza kuwa Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Wankyo Nyigesa amehamishwa kutoka mkoa wa Pwani kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera.

“Kamanda Nyigesa amechukua nafasi ya aliyekuwa Kamanda wa mkoa huo, Awadhi Juma Haji ambaye Januari 31, 2022 alipandishwa cheo kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) kuwa Kamishna wa Polisi (CP) na pia kuteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan” imeeleza taarifa hiyo.

Taarifa hiyo inaeleza kuwa Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Pius Lutumo ambaye alikuwa Operesheni Ofisa wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni amehamishwa kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani.






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/kampeni-kilimo-biashara-ina-tija-bashe-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment