aliyetumbukia

Juhudi za kumuokoa mtoto aliyetumbukia kisimani Morocco zaingia siku ya 4 - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Juhudi za kumuokoa mvulana mwenye umri wa miaka 5 aliyetumbukia kwenye kisima nchini Morocco zimeingia siku ya nne leo huku wasiwasi ukiongezeka juu ya iwapo atafanikiwa kutolewa akiwa yungali hai. 

Waokoaji wanaofanya kazi hiyo kwa ustadi na umakini mkubwa wamesema zimesalia mita mbili pekee kulifikia eneo aliko mtoto huyo lakini kazi yao inatatizwa na udhaifu wa udongo kwenye eneo hilo. 

Wataalamu wanaofanya kazi hiyo wanatumia kamba kupeleka mpira wa hewa ya Oksijeni, maji pamoja na Kamera ya kufutuatilia hali ya mvulana huyo lakini tangu leo asubuhi wamesema hawafahamu hali yake ya kiafya. 

Mvulana huyo aliyetambuliwa kwa jina la Rayan alitumbukia kwenye kisima hicho cha urefu wa futi 105 siku ya Jumanne na tangu wakati huo juhudi za kumuokoa zinaendelea. 

Kisa hicho katika kijiji cha Ighran kaskazini mwa Morocco kimevutia hisia za watu wengi duniani ambao wanafutatilia kwa karibu juhudi za kumuokoa.

logoblog

Thanks for reading Juhudi za kumuokoa mtoto aliyetumbukia kisimani Morocco zaingia siku ya 4






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/juhudi-za-kumuokoa-mtoto-aliyetumbukia-kisimani-morocco-zaingia-siku-ya-4-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment