baada

Jeshi la Pakistan lashambulia wilaya mbili za Naushki na Panjgur baada ya mashambulizi - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Jeshi nchini Pakistan limesema vikosi vya usalama vimeshambulia wilaya mbili za Naushki na Panjgur katika mkoa wa Baluchistan Kusini Magharibi mwa nchi hiyo, ambayo ni ngome ya wanamgambo wa makundi yanayotaka kujitenga baada ya wanamgambo hao kushambulia kambi mbili za kijeshi na kusababisha vifo vya wanajeshi tisa na kujeruhiwa kwa wengine sita. 

Taarifa ya jeshi hilo iliyotolewa jana jioni, imesema wanamgambo 20 waliuawa katika makabiliano ya ufyetulianaji risasi yaliodumu kwa masaa kadhaa pamoja na operesheni za kufuatilia. 

Taarifa hiyo imeendelea kusema kuwa wanamgambo tisa waliuawa katika wilaya ya Naushki pamoja na wanajeshi wanne na kuongeza kuwa vikosi vya usalama katika wilaya ya Panjgur vilizuia shambulizi hilo baada ya makabiliano makali ya risasi na kusababisha kutoroka kwa washambuliaji hao.

logoblog

Thanks for reading Jeshi la Pakistan lashambulia wilaya mbili za Naushki na Panjgur baada ya mashambulizi






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/jeshi-la-pakistan-lashambulia-wilaya-mbili-za-naushki-na-panjgur-baada-ya-mashambulizi-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment