Iran yasema haki ya kuendeleza utafiti wa nyuklia haiwezi kuzuia na mkataba - Swahili Viuhapa
Afisa wa ngazi ya juu wa masuala ya ulinzi nchini Iran amesema leo kuwa nchi hiyo inayo haki ya kuendeleza mradi wake wa nyuklia bila ya kuwekewa vizuizi na mkataba wowote kwa sababu mafanikio ya mpango huo yanahusiana na ulinzi wa taifa.
Ali Shamkhani, ambaye ni katibu mkuu wa baraza la usalama la taifa nchini Iran amesema haki ya kisheria ya Iran ya kufanya utafiti na kuendeleza shughuli za nyuklia kwa matumizi ya amani haiwezi kutiwa kiwingu na makubaliano yoyote.
Shamkhani ametoa msimamo huo wakati Marekani imetangaza jana kulegeza vikwazo dhidi ya mradi wa nyuklia wa dola hiyo ya uajemi kwa lengo la “kuonesha nia njema” kuelekea duru muhimu ya mazungumzo ya kuunusuru mkataba wa nyuklia kati ya Iran na madola yenye nguvu.
Chini ya nafuu hiyo Marekani imeondoa vikwazo kwa mataifa na makampuni yanayofanya kazi kwenye sehemu ya mradi wa nyuklia wa Iran ambao Washington inaamini ni kwa matumizi ya kiraia.
Thanks for reading Iran yasema haki ya kuendeleza utafiti wa nyuklia haiwezi kuzuia na mkataba
Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili
soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.
Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb
The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.
Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania
Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.
vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.
Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.
https://www.swahili.viuhapa.com/iran-yasema-haki-ya-kuendeleza-utafiti-wa-nyuklia-haiwezi-kuzuia-na-mkataba-swahili-viuhapa/
Post a Comment