Burudani

Idadi ya waliokufa kwa Covid-19 Marekani yafikia laki 9 - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 Idadi ya vifo vilivyotokana na janga la virusi vya corona nchini Marekani imefikia 900,000 leo huku serikali mjini Washington ikiendelea kuwatolea mwito raia wake kujitokeza kupatiwa chanjo dhidi ya virusi hivyo hatari. 

Takwimu hizo ni kwa mujibu wa chuo kikuu cha Johns Hopkins kinachokusanya na kuchakata data za visa vya maambukizi na vifo vinavyotokana na janga la virusi vya corona duniani. 

Rais Joe Biden wa Marekani amesema idadi hiyo ya vifo “inasikitisha” na kutoa salamu za pole na rambi rambi kwa wote waliopoteza wapendwa wao kutokana na janga hilo huku akiwarai raia wote kupatiwa chanjo. 

Kirusi cha Omicron kilileta zahma kubwa nchini Marekani mnamo mwezi Disemba kwa kuongeza idadi ya maambukizi yaliyovunja rikodi kwenye taifa hilo ambalo asilimia 64 ya watu wake wamepatiwa chanjo ya Covid-19 kikamilifu.

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/idadi-ya-waliokufa-kwa-covid-19-marekani-yafikia-laki-9-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment