atangaza

Harmonize Atangaza Kuja na Wimbo wa Injili..Remix ya Omoyo - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Kutoka Insta story ya CEO wa record label ya KondeGang @harmonize_tz ametangaza rasmi ujio wa remix ya wimbo wa dini /gospel kutoka kwa mwanamuziki wa nyimbo za injili Jane Misso ‘Omoyo’

KondeBoy amethibitisha hilo muda mchache baada ya kumvaa mwimbaji wa nyimbo za injili Goodluck Gozbert kwa tafsiri ya kutomzungumzia vizuri juu ya matamanio yake ya kufanya muziki huo wa injili.

Mbali na hayo @harmonize_tz ambae ni muumini wa dini ya kiislam ameeleza kuwa yeye ni bado ni muumini wa dini ya kiislamu na ataendelea kuwa na upendo kwa watu wa dini zote bila kujali utofauti wa imani.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/harmonize-atangaza-kuja-na-wimbo-wa-injili-remix-ya-omoyo-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment