ateua

Dk Mwinyi ateua vigogo 12 Zanzibar - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa viongozi 12 katika taasisi mbalimbali nyingi zikiwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Katibu Mkuu Zanzibar, Zena Said leo Ijumaa Februari 4, 2022 imemtaja Khamis Adam Khamis kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali. Anashika nafasi hiyo kwa kipindi cha pili.

Abdallah Ali Mwinyigogo ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Nyumba, kabla ya uteuzi huo alikuwa alikuwa ofisa mwanadamizi wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi.

Khadija Bakri Juma ameteuliwa kuwa Mwenyekiti Baraza la Elimu, kabla ya uteuzi huo alikuwa mstaafu katika utumishi wa umma. Fatuma Mode Ramadhan ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa Idara ya Elimu Msingi na Maandalizi katika wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.

Wengine ni Othman Omar Othman ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa baraza la mitihani Zanzibar huku Abdallah Ahmed Mussa akiteuliwa kuwa mkurugrnzi wa idara ya michezo na utamaduni katika wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, kabla ya uteuzi huo alikuwa mwalimu shule ya Haile Salasie.

“Abdalla Mohamed Mussa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Elimu Zanzibar. Naye Mbwana Yahya Mwinyi ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano,”

Taarifa hiyo pia imemtaja Abdulaziz Rashid Mukki ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya mafunzo ya ualimu katika wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali.

Wengine ni Sheikh Khalid Ali Mfaume ameteuliwa kuwa katibu Mtendaji wa ofisi ya Mufti Mkuu, kabla ya uteuzi huo Sheikh Khalid alikuwa katibu wa Mufti. Na Kassim Ali Omar ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Wakala wa Majengo.

Teuzi hizo zinaaza leo.

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/dk-mwinyi-ateua-vigogo-12-zanzibar-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment