BEI

Bei ya hisa ya Facebook yaporomoka ikipelekea soko la hisa za teknolojia kutetereka - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Kampuni za teknolojia zile zile zilizosaidia kufufua hisa za biashara za Marekani kutokana na kudorora kwa uchumi kulikosababishwa na janga la corona mwaka 2021 zimesababisha soko kuporomoka Alhamisi.

Hii ni baada ya Mitandao ya Meta, kampuni inayomiliki Facebook, kutangaza watumiaji wa bidhaa yake hawaongezeki na mapato yake kutokana na matangazo yamepungua kwa kiwango kikubwa.

Meta siyo kampuni ya teknolojia pekee ya Marekani iliyoathirika Alhamisi. Snap Inc., mmiliki wa Snapchat; Pinterest, Twitter, PayPal, Spotify na Amazon wote waliathirika kwa kuporomoka mauzo yao.

Hisa za teknolojia Marekani zinakabiliwa na changamoto kubwa mbalimbali hivi sasa, ikiwemo uwezekano wa kuzorota kwa uchumi, mabadiliko ya kanuni za usiri binafsi, shinikizo la kanuni linaloongezeka na changamoto za ushindani ambazo zimewasukuma watumiaji – hususan vijana – kuingia katika mitandao mipya kama TikTok.

Kila kipimo cha hisa kubwa Marekani kilikuwa chini sana Alhamisi, huku wastani wa hisa za viwandani za Dow Jones zikiporomoka kwa asilimia 1.45, hisa za S&P 500 zikiwa chini kwa asilimia 2.44 na hisa za Nasdaq za teknolojia nzito zikiwa chini kwa asilimia 3.74.

Ingawa maumivu yalienea katika sekta ya teknolojia Alhamisi, ilikuwa ni uchungu wa Facebook uliokuwa umeshuhudiwa zaidi na umma.

Hisa za kampuni hiyo, ambazo zilikuwa zinauzwa kwa dola 323 wakati soko linafungwa Jumatatu, ziliuzwa Alhamisi soko likifunguliwa kwa dola 242.48 na hazikurudi juu kabisa, na kufunga mauzo zikiuzwa kwa dola 237.76.

Kushuka huko kwa asilimia 27 katika thamani ya hisa za kampuni imetafsiriwa kuwa ni hasara ya zaidi ya dola bilioni 230 katika thamani ya soko, na kitu hakijawahi kushuhudiwa kwa hasara ya siku moja kama hiyo kwa kampuni moja.

Bei ya hisa hizo zilianza kuanguka baada ya kampuni kutangaza kwa mara ya kwanza kabisa kuwa idadi ya watumiaji wa mitandao yake kwa mwezi ilikuwa haijaongezeka kwa awamu ya nne ya mwaka 2021.

Na zaidi ya hivyo, katika soko lake kuu Marekani Kaskazini, Facebook ilishuhudia watumiaji wa mitandao yake wakipungua kidogo.

logoblog

Thanks for reading Bei ya hisa ya Facebook yaporomoka ikipelekea soko la hisa za teknolojia kutetereka






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/bei-ya-hisa-ya-facebook-yaporomoka-ikipelekea-soko-la-hisa-za-teknolojia-kutetereka-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment