Askofu mkuu wa Ujerumani aunga mkono kulegezwa kwa sheria za useja - Swahili Viuhapa
Padri maarufu nchini Ujerumani amependekeza kulegeza sheria za useja kwa mapadri wa Kikatoliki ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji wa kingono vilivyolighubika kanisa hilo kubwa duniani.
Kadinali Reinhard Marx, ambaye ni Askofu Mkuu wa jimbo la Munich, aliliambia gazeti la kila siku la Sueddeutsche Zeitung kwamba itakuwa bora kwa kila moja kuweka uwezekano wa kuwa na mapadri waseja na waliooa.
Matamshi yake aliyoyatoa kuelekea mkutano wa baraza la mageuzi la Ujerumani, yamekuja wakati ambapo dayasisi yake imetikiswa na ripoti huru juu ya namna kanisa lilivyoshughulikia visa vya udhalilishaji wa kingono katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita, ambayo ilimkosoa yeye mwenyewe na watangulizi wake, akiwemo papa aliestafu Benedict wa XVI.
Marx, mwanamageuzi na mshirika wa Papa Francis, alisema wiki iliyopita kwamba kanisa linahitaji mageuzi makubwa ili kushughulikia janga la ukiukaji wa kingono.
Thanks for reading Askofu mkuu wa Ujerumani aunga mkono kulegezwa kwa sheria za useja
Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili
soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.
Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb
The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.
Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania
Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.
vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.
Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.
https://www.swahili.viuhapa.com/askofu-mkuu-wa-ujerumani-aunga-mkono-kulegezwa-kwa-sheria-za-useja-swahili-viuhapa/
Post a Comment