Aondolewa

Aondolewa Top 10 ya Matajiri wa Dunia..... - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Kuporomoka kwa hisa za Meta kumemuondoa Zuckerberg kwenye orodha ya matajiri 10 wakubwa duniani.

Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2015, Muanzilishi wa Facebook – Mark Zuckerberg ametoka nje ya list ya matajiri 10 wakubwa wa dunia baada ya hisa za kampuni ya Meta kuzidi kushuka. Mark Zuck amepoteza zaidi ya Dola Bilioni 30 (sawa na Trilioni 69) katika utajiri wake na asilimia 12.8% ya thamani ya Meta anayoimiliki.

Thamani ya hisa moja ya Meta ilifikia Dola 237 kwa hisa moja na kupoteza zaidi ya Dola Bilioni 232 sawa na Shilingi Trilioni 536 siku ya Jumanne. Imeweka historia ya kampuni iliyoshuka ghafla duniani.

Wiki iliyopita kabla ya Ripoti za faida ya Q4 2021 ya Meta kuonyesha kushuka kwa kampuni, Zuck alikuwa nafasi ya 8 katika matajiri wakubwa duniani. Sasa hivi anashika nafasi ya 12 kwa utajiri wa Dola Bilioni 84.5 sawa na Trilioni 195 za Kitanzania.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/aondolewa-top-10-ya-matajiri-wa-dunia-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment