Akiiba

Anaswa Akiiba Bibilia Kwenye Super Market "Niliiba Biblia ili Nisome, Nielewe na Kuhubiri Neno la Mungu" - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA Swahili Viuhapa, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Raia wa Kenya, Augustine Wanyonyi(34) amefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuiba Biblia kwenye supermarket Jijini Nairobi ambapo amejitetea kwamba alitaka kuhubiri neno la Mungu badala ya kujiua kutokana na changamoto za kimaisha zinazomkabili baada ya nyumba yake kubomolewa.

Augustine amesema aliiba Biblia mbili ya kwake na nyingine ya Mke wake “Niliiba Biblia ili nisome, nielewe na kuhubiri neno la Mungu badala ya kujiua kutokana na matatizo yanayonikabili, nyumba yangu imebomolewa eneo la Mukuru kwa Njenga “

Alifanya tukio hilo January 30 ambapo camera za CCTV za supermarket zilimnasa akiwa na Biblia hizo ambazo hakuzilipia, atafikiswa tena Mahakamani kwa ajili ya kupewa hukumu February 16, 2022.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA Swahili Viuhapa , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/anaswa-akiiba-bibilia-kwenye-super-market-niliiba-biblia-ili-nisome-nielewe-na-kuhubiri-neno-la-mungu-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment