Alikamwe

Alikamwe "Mambo 10 nilioyaona Yanga vs Mbeya City" - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Mambo 10 nilioyaona Yanga vs Mbeya City

1: WOW.. JUST WOW! WHAT A MATCH.. 🙌 NBC PREMIER LEAGUE katika Ubora wake! BILA shaka Tumeshuhudia moja ya mechi bora ya Ligi Kuu msimu huu! Burudani sana👏

2: Nafikiri mashabiki wa Yanga wana jambo moja kubwa la kufanya.. TOA HESHIMA KWA MPINZANI👏 Wachezaji wangefanya nini zaidi? Wamekimbia, wamepambana Lakini Mbeya City walikuwa na siku bora sana kazini!

3: Bila shaka Kocha wa Mbeya City, Mathias Lule atarudi kwenye mkoba wake wa mbinu na kujipongeza kwa mpango aliokuja nao KWA MKAPA! Wakiwa na mpira wanatawanyika kwenye 4-2-4, Bila mpira wanabana uwanja kwenye 4-4-2, Timu ikianza kupress vyema kwenye Mid Block

4: Bila shaka, kocha wa Yanga, Nabi atakuwa analia na jambo moja tu. MAJERAHA. Unahitaji wachezaji wako bora kiwanjani kushinda mechi dhidi ya Timu bora

5: Yanga walikosa ‘Mamlaka’ ya Bangala katikati ya kiwanja. Kwanini? Job alilazimika kwenda kulia kuziba pengo la Kibwana.. Unahitaji pia Feisal aliye Timamu kurahisisha kazi ya Mayele..

6: Wale mawinga wa pembeni wa Mbeya City, Ibrahim Selemen na Ngodya ndio walikuwa nguzo ya msingi kwenye ‘Transition’ 2 za Mpango wa Lule.. Moja ya mechi bora sana wameicheka👏

7: Farid Mussa chini ya kiwango chake.. Mauya akapoteza kujiamini kwenye pasi zake! Aucho akakosa ‘Link’ nzuri katikati ya kiwanja.. Kazi ikawa nzuri kwa AZIZ ANDAMBWILE KATIKATI YA KIWANJA🙌

8: Yanga wanaweza wasitengeneza nafasi nzuri Lakini haliondoi umahiri wa Mayele ..🙌 Katika nusu Nafasi, anageuka na kutengeneza hatari

9: Mabeki wa Kati wa Mbeya City.. Shemvuni/ Hamad Wazir HESHIMA KWAO👏 Heshima pia kwa DIDA! Alikuwa na umakini sana kwenye krosi na kupaza sauti kuipanga ‘Back 4’ yake

10: Well Done Mshery👏 Well Done Bangala! Moloko bado anatakiwa kuonyesha zaidi tofauti ya hatari na machachari..

Nb: Ndo tumeona Tofauti ya KUTETEMA na KUTETEMEKA😃  

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/alikamwe-mambo-10-nilioyaona-yanga-vs-mbeya-city-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment