Alikamwe

Alikamwe Mambo 10 nilioyaona Simba Ikiinyoa Prison - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Mambo 10 nilioyaona Simba vs Prison

1: Pointi 3 za Alhamdulillah.. Simba inapita kwenye presha kubwa sana, Ndani na nje ya kiwanja.. Jambo zuri kwao wameshinda mchezo mgumu katika siku ambayo hawakuwa bora sana kiwanjani

2: Kuna namna kama shabiki wa soka, Unatamani kuipongeza PRISON kwa Game Plan Yao✊ Tactically walijiandaa vyema kwa kujua Strength za Simba na jinsi ya kuikabili

3: Maswali ni mengi sana kwa Benchi la Ufundi la Simba.. Lakini kubwa, nafikiri matokeo ya nyuma yamewapa presha benchi la Ufundi na inaonekana wamepoteza ‘kujiamini’ kuanzia kwenye mpango wao wa mechi na ‘Selection’ ya wachezaji.. Kivipi?

4: Unajua unakwenda kucheza na Prison yenye falsafa ya kudefend kwenye ‘Low Block’! Kwanini Simba wanakwenda kuanza mechi na viungo wawili chini [Muzamir & Nyoni]?

5: Unajua unakwenda na Timu yenye sifa ya kudefend katika mstari wa chini, kwanini unachagua kuanza na Sakho kwenye benchi?

6: Tactically ukicheza na timu inayo defend kwenye Low Block unahitaji kucheza na side way passes nyingi kwa ajili ya kuitanua safu yao ulinzi.. Unahitahi pia mchezaji wa pembeni mwenye kasi ya kuingia kwenye half spaces zinapopatikana.. mchezaji mwenye quality ya kushinda 1v1 akiwa kwenye mwendo.. Kwanini SAKHO hakuwa kwenye mpango wa kwanza? Benchi la Ufundi lilipoteza kujiamini

7: Well Done Omary Omary na Marco Mhilu..🙌 Mchango wao kwenye kukaba na kushambulia ulikuwa msingi mzuri wa Prison kupata ‘Balance’ nzuri wanapokuwa na mpira na wanapoupoteza

8: I Like Bwalya.. Lakini nafikiri anatakiwa kuwa active zaidi kiwanjani. Kasi ya kufikiri na maamuzi ya haraka ni kitu wanachohitaji mastraika wa Simba kudili na mabeki wa Timu pinzani

9: Refa Ahmada Simba.. Nina uhakika kabisa hakuwa na uhakika na maamuzi yake kwenye Lile tukio lililosababisha Penalti. Angekuwa na VAR bila shaka angekuwa na Uamuzi wa Tofauti.. Poor Positioning yake ikamfanya ahukumu kwa kuhisi..

10: Israel Partick Mwenda krosi zake bado kidogo. Ni eneo la kuboresha. Inonga YES.. 👍 Mbangula angeweza kuondoka na bao kipindi cha kwanza kama Henock asingekuwa haraka ‘kureact’ alipodondoka

Nb: Tajiri namba 15 kaanza kazi 😃

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/alikamwe-mambo-10-nilioyaona-simba-ikiinyoa-prison-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment