40 wakamatwa wakihusishwa na mauaji ya watu 6 Kilindi

40 wakamatwa wakihusishwa na mauaji ya watu 6 Kilindi - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Jeshi la Polisi nchini limekamata silaha 11 pamoja na kuwashikilia watu 40 ikiwa ni muendelezo wa kufuatilia waliohusika na mauaji ya watu sita, katika mapigano ya wakulima na wafugaji yaliotokea Kilindi mkoani Tanga, Januari 30.

Akizungumza na waandishi wa habari katika kituo cha Polisi wilayani Kilindi leo Februari 3, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi ambae pia ni Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Mihayo Msikela amesema  baada ya agizo la IGP Sirro mafanikio hayo yamepatikana.

“Kati ya watuhumiwa hao 40, watuhumiwa 27 wameachiwa huru, lakini 13 tunaendelea kuwashikilia na miongoni mwao wapo walioshiriki mauaji moja kwa moja, wamo waliotoa usafiri na kuitisha vikao,” amesema Mihayo.

Aidha mkuu huyo alitoa rai kwa wananchi wote nchi nzima kusalimisha silaha wanazomiliki kihali na kuzitumia katika uhalifu na zile ambazo wanamiliki isivyo halali, vinginevyo baada ya siku saba hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/40-wakamatwa-wakihusishwa-na-mauaji-ya-watu-6-kilindi-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment