celebinfo

Baby J adai hana tatizo na AT(+Video)


Msanii wa Bongo Fleva, Baby J ambaye kwa sasa yupo chini ya uongozi wa Mkubwa na Wanawe ameeleza kutokuwa na tofauti na msanii AT, amabye alidaiwa awali kuwa na tofauti naye baada ya kushiriki wimbo wa ‘Kidudu Mtu’.

“Mimi na AT, hatukuwai kuwa na tatizo lolote, alichokifanya katika ngoma yake ile ni biashara tu, hapakuwa na beef kwa upande wangu labda kwa upande wa Offiside Trick,” ameiambia Bongo5.

Pia mrembo huyo ameongeza kwa kudai kuwa hamfahamu mwanamuziki na mtangazaji Mwananne Omari(Mwa4) aliyeshiriki katika ngoma ya ‘Vifuru Tundu’ iliyodaiwa kuwa ni wimbo wa kujibu ‘Kududu Mtu’ ila yeye anajua amewahi kuona kwenye TV tu.

Post a Comment

Post a Comment