celeb

Sanchi Ajitosa Kwenye Kilimo


VIDEO queen mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameweka wazi dhamira yake ya kujitosa kwenye biashara ya kilimo cha nafaka mbalimbali.


Sanchi aliiambia 3-Tamu kuwa, hivi karibuni anafikiria kujiingiza kwenye kilimo am­bacho anaamini kina mafanikio makubwa ingawa wengi wa­naona ni kazi ya kishamba.


“Urembo nauweka kando kwa muda kwanza ili ni­jikite zaidi kweye kilimo, nimeo­na kuna fursa kubwa ukizingatia warembo wengi wanachukulia kilimo kama biashara ya wa­shamba,” alisema Sanchi.


Post a Comment

Post a Comment