MAMA mzazi wa staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila amezima minon’gono ya mwanaye huyo kutarajia kufunga ndoa akisema kuwa, mtoto wake huyo anajipanga kurudi darasani kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo.
Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama yake Lucresia Karugila. |
“Lulu bado ni mdogo, ngoja asome kwanza maana ndoa ipo tu,” alisema mama Lulu.
Post a Comment