celebinfo

PICHA ZA HARUSI YA IRENE PAUL ALIYO OLEWA KIMNYA KIMNYA



MKALI wa filamu za Bongo, Irene Paul  anadaiwa kufunga ndoa na mpenzi wake na kufanya sherehe kimya kimya na kuhudhuriwa na watu wachache.

Irene amesema hakupendelea picha za mume wake zionekane kwani hapendelei maisha yake nje ya kazi yafahamike sana.

















Post a Comment

Post a Comment