tanga

SHOW NZIMA YA MSAMI BABY KWENYE TK BEACH PART ITAZAME HAPA KAMA ULIIKOSA JIJINI TANGA


IMETIMIA: Usiku wa TK BEACH PART ambao umepambwa na Hitmaker wa Step by step "Msami baby" umemalizika huku ukikonga nyoyo za wakazi wengi wa Jiji la Tanga. Usiku wa Tarehe January 28 2017 katika eneo la Raskazone Swimming Club ndio kila kitu kilifanyika vyema chini ya ma DJ toka Tk fm.

Show kali ya iliyondikizwa na wasanii wa Tanga. Tazama picha baadhi  na video yote hapa kwenye bongohot.com

Dj Roja Kiss wa TK FM akiwa na mtoto wake wakiangalia show nzima

MUMY ZUBEDA
 manager wa TK FM akiwa ameisimamia show kwa siku nzima

Mchezaji wa Nyimbo za kisingeli akifanya yake jukwaani

Msanii chipukizi wa mkoani Tanga akiwa  anaonyesha ujuzi wake

Dj Jimmy akiwa katika uso wa Kazi 

Dj Roja kiss akiwa anaongea na wana Tanga wapenda burudani

Msanii chipukizi wa mkoa wa tanga



MUMY ZUBEDA AKIWA AKIWA ANAITA WATU WALIOZALIWA SIKU YA JANA KWA AJILI YA KULISHWA KEKI

"MBONI"  Mama wa mipasho wengine wanamuita Mama wa Umbea katika jiji zima la Tanga

Msanii kutoka katika mkoa wa tanga


TAZAMA NZIMA YA SHOW HAPA...


             

Photoby:LightMagicPhotos

TOA MAONI YAKO HAPA BONGOHOT