videomusic

VideoMPYA: Young Dee - ‘bongo bahati mbaya


Kutana na Young Dee, mkali mwingine kutokea bongoflevani na sasa katuletea nyingine video inaitwa ‘bongo bahati mbaya’ ambayo imefanywa hapahapa Tanzania na ‘Kwetu Studios‘ na ukishaitazama hapa chini usisahau kutupia comment yako ili ajue imepokelewaje

Post a Comment

Post a Comment