love and relation

MBINU ZA KUMUINGILIA MWANAMKE YOYOTE YULE DUNIANI


Je uko tayari kufahamu jinsi ya kuingia katika akili ya mwanamke na kufanya mapinduzi ya njia ya kawaida unayotumia kuapproach mwanamke? Kama jawabu lako ni ndio, basi zama nami kusoma hizi mbinu ambazo zimethibitishwa kufanya kazi. 

1. Anza approach ya mbali

Kabla ya kumuapproach mwanamke, hakikisha ya kuwa unamsoma kwa umbali mambo anayofanya kwanza. Halafu ukiona kama umepata kile unachoweza kutumia kutoka kwake unaweza kumuaproach. Ukiwa unaongea nayeye mwambie kuwa una uwezo wa kusoma nyota yake. Wanawake wengi watakubaliana na hili ili kuona ucheshi wako. Halafu ukirudilia na vitu ambavyo ulimsoma awali, utakuwa umemfunga. Mwanzo kama umejaribu kumtabiria vitu ambavyo viko sawa kwake ama vinahusiana na yeye, una nafasi kuu ya kumfanya kukutaka kukufahamu zaidi. Pia ni vizuri kufahamu miondoko ya wanawake na mapema ili kuelewa kama anakubaliana na utabiri wako kwake. 

Pia unaweza kuwambia unaweza kusoma nyota yake kupitia kwa maganja yake. Hii itakupa nafasi ya rahisi kuweza kupata kumgusa bila kukushuku ajenda yako nzima iliyo akilini mwako. Mbinu hii itamfanya yeye kuvutiwa na wewe kwa urahisi. 

2. Leta shangwe

Wanawake wanapenda wanaume ambao hawayachukulii maisha serious vile, so hakikisha kuwa unajua jinsi ya kuchat na wanawake.  Unaweza kutumia mbinu ya kutumia kuwa mcheshi na kutoa mizaha ukiwa kando yake. Kufanya hivi kutamfanya yeye kucheka na kutabasamu, jambo ambalo automatic litamfanya yeye kuvutiwa na wewe. Usitumie mbinu ya kumtesa sana na mizaha yako ama utaonekana kuwa na utoto mwingi ama anaweza kukasirishwa. Uzuri wa kutumia ucheshi ni kuwa kunamfanya mwanamke kujihisi bado ana ujana. 

3. Ichokore akili yake

Hii ni mbinu ya sanaa ya kutongoza ambayo itamfanya mwanamke yeyote kuathirika kihisia na wewe. Itamfanya akutamani na kuifanya akili kukufikiria wewe tu.

Njia moja kama hii ni kumfanya mwanamke kuingiwa na furaha dakika moja na kukasirika dakika ya pili. Wanawake inaonekana mara nyingi hupenda vioja katika maisha yao, kama vile katika vipindi vya tamthilia ama soap opera. Hoja ya vioja ni nzuri pia kwa kuwa inatoa ile dhana ya kubandikwa jina kuwa unaboa. 

Kama unaweza kuyafanya maisha yako kuwa na vioja vya mara kwa mara wanawake watakupenda automatically bila wao kujifahamu. Ukishafanikiwa kuteka hisia zao, inakuwa rahisi kwako kuingia katika akili yao. Unafaa kuonywa ya kuwa kutumia mbinu hii sana inaweza kuwafanya baadhi ya wanawake kuchunguza maisha yako wakitaka kuwa karibu yako kila wakati.

Pia fahamu ya kuwa usimchangaye akili kihisia mwanamke yeyote kwa kutumia mbinu hii kwani mwishowe inaweza kukujeukia. 

Post a Comment

Post a Comment