health

MAMBO Manne Ambayo Hupaswi Kuyafanya Wakati wa Kulala


Wataalam wa afya wamekuwa wakieleza kuwa kulala ni moja ya mambo muhimu kwa afya ya binadam.

Licha wengi kutozingatia umuhimu wa  kulala hasa yale masaa 8 ambayo hupendekezwa na wataalam kutokana na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kazi za kila siku.

Sasa leo naomba msomaji wangu nikueleze mambo kadhaa ambayo unaambiwa si mazuri kufanyika wakati unapokuwa kitandani tayari kwa kulala.

1. Hutakiwi kuangalia Tv wakati unapokuwa kitandani tayari kwa ajili ya kulala.

2. Kuchezea simu au kuchat kwenye mitandao mbalimbali wakati unapokuwa kitandani kwa ajili ya kulala.

3. Kula au kunywa wakati upo tayari kitandani nayo si tabia nzuri vinginevyo labda iwe unaumwa na hauna jinsi.

4. Kufanya mazungumzo hasa yale ya hasira wakati unapokuwa kitandani pia si vizuri
Post a Comment

Post a Comment