Breaking news

Breaking News: Rais Magufuli amtaka Waziri Muhongo Kujiuzuru


Rais wa John Magufuli amtaka Waziri wa Nishati na Madini, Professa Sospiter Muhongo achie nafasi yake.

"Ninampenda sana Professa Muhongo, lakini pia ni rafiki yangu, lakini kwenye hili naomba kajifikirie na haraka sana uachie ngazi"

Rais Magufuli amesema hayo leo alipopokea taarifa ya kamati ya Uchunguzi wa Kontena wa Mchanga wa Dhahabu.
Post a Comment

Post a Comment