videomusic

Video: Navy Kenzo – Morning


Kundi la Navy Kenzo wametuletea hii video mpya ya single yao iitwayo ‘Morning’, Video imetayarishwa kwenye mji wa Tel Aviv nchini Israel, na imeongozwa na Gleb Smirnov. Karibu utazame kupitia Bongo Hot