hot stuff

MCHUNGAJI AWASIMULIA WAUMINI WAKE JINSI NGONO ILIVYOMSAIDIA KUPONA MAGONJWA YAKE


Mchungaji kutoka Ghana, Job Antwi, amewashauri wanaume waliooa kutumia uume wao vizuri kwa kufanya ngono na wake wao mara nyingi ili kuwa na ndoa yenye furaha.

PAY ATTENTION: Get all the latest gossips on BONGOHOT.COM Gossip App

Antwi ambaye ni maarufu Ghana alieleza kuwa kufanya ngono ni njia nzuri zaidi ya kuwa na ndoa yenye furaha.
                               

Mchungaji huyo ambaye alihojiwa Jumatatu, Februari 6, alidai kuwa alipona kwa kushiriki ngono na mkewe alipokuwa mgonjwa.

“Nilikuwa nimeenda kununua dawa ya homa niliposhauriwa na muuzaji madawa kushiriki ngono na mke wangu, nilipojaribu, ugonjwa wangu ulikuwa umeisha.”

PAY ATTENTION: Get all the latest gossips on BONGOHOT.COM Gossip App

Aliwashauri wanandoa kujaribu hilo. Alisema, “Kama mumeoana, jaribuni, itawasaidia,” alisema.

Antwi aliongeza kuwa kufanya ngono na mkewe kumemsaidia kukua kama mtumishi wa Mungu.

Alisema, “Ngono imenisaidia kukua kama mtumishi wa Mungu na imenisaidia kujua mambo mengi."

Mchungaji huyo aliwataka vijana kutoshiriki ngono.


SHOW YA MSAMI BABY KWENYE  FM BEACH PARTY MKOANI TANGA ITAZAME HAPA