hot stuff

MAMA achukua hatua ya KUSHANGAZA baada ya mwanawe kuamua kuoa kahaba



Mwanamke mmoja kutoka eneo la Masvingo nchini Zimbabwe alijaribu kujitoa uhai baada ya mtoto wake wa kiume kumfahamisha kuwa alikuwa anaoa kahaba. Mtandao wa habari wa Zim News wa nchini Kenya uliripoti kuwa Nomathemba Moyo mwenye umri wa miaka 48, yuko hali mahututi katika hospitali ya mkoa ya Masvingo Provincial Hospital baada ya kunywa sumu Jumamosi iliyopita.

PAY ATTENTION: Get all the latest gossips on BONGOHOT.COM Gossip App

Msemaji wa polisi wa Masvingo, Inspekta Charity Mazula alisema uchunguzi unaonyesha kuwa Moyo alikunywa sumu hiyo baada ya mabishano makali na mwanawe wa miaka 22, Jonathan Ngwenya. Inasemekana Moyo alipandwa na ghadhabu baada ya Jonathan Ngwenya kumwambia alikuwa ameamua kufunga ndoa na kahaba wa miaka 30 aliyetambulika kama Caroline Munetsi.



PAY ATTENTION: Get all the latest gossips on BONGOHOT.COM Gossip App

"Mtoto wake mkubwa alimleta kahaba nyumbani Alhamisi jioni na kusema huyo ndiye alikuwa amemchagua kuwa mke wake licha ya kuwa alikuwa akijua mwanamke huyo ni kahaba maarufu katika eneo hilo,” alisema mpasha habri.



Inasemekana mabishano kati ya mama na mwana yalikithiri baada ya Jonathan kumuamrisha mamake ampatie ng’ombe sita za babake ili alipie mahari. Jambo hilo linasemekana kumkasirisha mama huyo na kumfanya kuchukua hatua ya kunywa sumu.


SHOW YA MSAMI BABY KWENYE  FM BEACH PARTY MKOANI TANGA ITAZAME HAPA