gossip

WCB WAJIPANGA KULICHOMA GARI JUKWAANI LEO KWENYE WASAFI BEACH PARTY


Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL leo Live pale mlimani City amesema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia siku ya kesho Kwenye Party ya Wasafi ...

Amedai stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi....



Jiunge na BongoHotz.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka BongoHotz!