Tangu Waziri wa Michezo nchini Cameroon, Pierre Ismael Bidoung Mpkatt ainame wakati akimsalimia rais wa nchi hiyo Paul Biya, picha hizo zilisambaa mitandaoni.
Watu nchini Cameroon wamekuwa wakiiga picha hizo, kusalimiana kwa kutumia staili hiyo na kutupia picha mitandaoni.
Hapa nimekuwekea baadhi ya picha hizo huku wengine wakionekana kwenda mbali zaidi na kusalimiana na wanyama kama vile mbwa, mbuzi na wengine.