Ndugu zangu hiyo issue iko serious na huyo Dada ambae apo kavaagauni nyekundu apo (A) Ni kweli anaitwa Juliana lakini sie huyo wa diamond hapo.(B) ni watu wawili tofauti kabisa Kama unavyo ona apo uyu (A) ndio kauwawa... Hiyo rasta ilikuwa sare na wenzie Jana ili leo waende mahala kwa ajili ya show flani..pia alikua Ana soma tumaini University of makumira.
Alikuwa anakaa mle mle ndani chuo alikuwa anakaa na mmarekani flani ndo alikuwa akimlea kama mwanae a manage huyo mmarekani ni Mwalimu pale.. Sasa wenzie walikuawanamngoja jana asubuhi saa 5 ndo watu wamepeleka taarifa baada ya kukutwa katupwa hivyo....NA sio yule video queen wa Salome Kama wasimavyo watu sio kabisa ao ni watu wawili tofauti kabisa...

Post a Comment