Breaking News,Picha.. AJALI YATOKEA MUDA HUU MAGARI YAUNGUA MTO
Unknown0
Comments
AJALI IMETOKEA MUDA HUU katikati ya Kimara Stop over na SUKA eneo la garage. Ni kwamba bus linatokea DODOMA na lory la cement vimegongana USO kwa USO na magari yote YAMEUNGUA MOTO
Post a Comment