Habari wandugu! Capt. Innocent Dallu kaibiwa Gari Haria no T 400 DEH ikiwa na mtoto wake wa kike wa umri wa miaka 4. Ni mchana huu maeneo ya Mbezi-Goba. Tunaomba sambazeni ujumbe huu angalau mtoto wetu apatikane tu.
Apatapo Taarifa yeyote Juu ya Mtoto au Gari hiyo, tafadhali piga simu 255 767 339 939 au 0652231109
Au 0754968118 cAu Toa Taarifa kituo cha polisi chochote kilicho karibu na wewe. Ama kambi ya jeshi iliyo karibu na.wewe ukiwaonyesha msg hii.
Au 0754968118 cAu Toa Taarifa kituo cha polisi chochote kilicho karibu na wewe. Ama kambi ya jeshi iliyo karibu na.wewe ukiwaonyesha msg hii.
Post a Comment