Breaking news

BREAKING NEWS TETEMEKO LA ARDHI LATOKEA MUDA HUU UKO BUKOBA

Taarifa nilizo zipokea muda  huu kutoka kwa reporter wetu  ni kwamba tetemeko la ardhi limepita uko mkoani kagera wilaya ya bukoba mpaka sasa akuna taarifa kamili kuhusu maafa yaliyo tokea.. kwa Taarifa zaidi kaa karibu na bongohotz.com
Post a Comment

Post a Comment