Mwanamuziki kutokea kule Uganda Sheebah karungiameanza mafunzo ya kufanya make up watu wengi wa uganda waemsifia kwa kufanya make up vizuri.
Katika picha nyingine nyingi za nyumba sheebah alionekana kujaza make up nyingi katika uso wake lakini sasa ame piga hatu kwani ameonekana akiwa amefanya makeup kwa usahihi.
Katika picha hii sheebah ameonekana mzuri na mrembo kama walivyo mastaa wengine wa kimarekani.
Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa
Usipitwe!! kupitia FACEBOOK, TWITTER na INSTAGRAM kupata habari ndani ya sekunde kila inapotufikia..!! Usiache ku download application play store BOFYA HAPA KU DOWNLOAD....... LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOKLIKE PAGE
Post a Comment