soka

TFF yagomea vilabu wachezaji wa kigeni

IN SUMMARY
Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura alisema wamekataa maombi hayo na kutaka idadi iliyopo ibaki kama ilivyo.

Dar es Salaam. Licha ya vilabu vya
Ligi Kuu kutaka kuongezwa kwa idadi ya wachezaji wa kigeni kutoka saba wa sasa hadi 10, Bodi ya Ligi imekataa.

Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura alisema wamekataa maombi hayo na kutaka idadi iliyopo ibaki kama ilivyo.

Hivi sasa klabu zinatakiwa kusajili wachezaji saba wa kigeni, lakini katika kikao cha klabu na Bodi ya Ligi kilichofanyika wiki iliyopita, moja ya jambo lililoongelewa ni kuongeza idadi ya wachezaji wa kigeni.

Post a Comment

Post a Comment