Bad New: Basi la Tahmeed linalofanya safari zake za Dar kwenda Tanga limeungua lote kwa moto leo katika kijiji cha Komkoma.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo ameeleza kuwa hakuna abiria wote waliwahi kutoka na hakuna aliyejeruhiwa.
Pamoja na kutoka abiria wote lakini hawakufanikiwa kutoa mizigo na vyote vikateketea.
Post a Comment