tanzia

Tanzia: Askari wa Usalama Barabaran Auawa kwa Kupigwa Risasi


Watu wasiojulikana wakiwa na pikipiki aina ya Boxer, usiku wa kuamkia leo wamemuuwa kwa kumpiga risasi kadhaa katika sehemu mbalimbali za mwili wake Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani, Ally Kinyogoli nyumbani kwake Mwandege, wilayani Mkuranga mkoani Pwani.

Baada ya kumuua, watu hao wanadaiwa kuwa walitokomea kusikojulikana bila kuchukua kitu chochote.
Kinyogoli alijizolea umaarufu katika kipindi cha redio One kila siku asubuhi alipokua akitoa taarifa za hali za barabarani zikiwemo njia zenye foleni kwa wakazi wa jijini

Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usiache ku download application play store kupata habari ndani ya sekunde kila inapotufikia..Karibu

LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOK



TOA MAONI YAKO HAPA