international gossip
JA RULE AMCHAPA SHABIKI MAKOFI BAADA YA KUMPIGA NA KOPO KWENYE SHOW....TAZAMA VIDEO
0
Comments
Rapper Ja Rule alijikuta anasimamisha show yake iliyofanyika huko Atlantic City, Marekani baada ya shabiki aliyerusha kopo la bia kumgonga kichwani wakati akifanya show. Baada ya kufanyiwa hivyo alianza kumtafuta mtu aliyefanya hivyo.
Rapper huyo alitangaza dau la dola 1000 kwa mtu ambaye angemuonyesha shabiki aliyerusha kopo hilo. Mtandao wa TMZ ulipata clip ya tukio zima.
Itazame hapo chini.
Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook
LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOK
Post a Comment