gossip

WASTARA ALIPIWA MAHARI YA SH. MIL 5


Bahati! Siku chache baada ya nyota wa sinema za Bongo, Wastara Juma kuripotiwa kumwagwa na aliyekuwa mume wake, Sadifa Juma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Donge kwa Chama Cha Mapinduzi, kuna habari kuwa, mtalikiwa huyo ametolewa mahari kiasi kikitajwa kuwa ni shilingi milioni 5.


Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usiache ku download application play store kupata habari ndani ya sekunde kila inapotufikia..Karibu

LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOK



TOA MAONI YAKO HAPA

Post a Comment

Post a Comment