gossip

Mastaa wa tamthilia ya Empire wafunga ndoa kisiri siri


Waigizaji wa tamthilia ya Empire, Grace Gealey, 31, na Trai Byers, 32, wamefunga ndoa kwenye sherehe ya faragha Alhamis hii.


Wageni 50 tu walialikwa kwenye harusi hiyo kwa mujibu wa TMZ.
Gealey na Byers walichumbiana mwaka jana.

Kwenye tamthilia hiyo, Gealey anacheza kama Anika Calhoun huku Byer akiigiza kama Andre Lyon.


Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook , Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usiache ku download application play store kupata habari ndani ya sekunde kila inapotufikia..Karibu

LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOK



TOA MAONI YAKO HAPA

Post a Comment

Post a Comment