Habari mpya ya kusikitisha ni kuwa Kijana wa Kitanzania, Issa James Mwesiga ameuawa na kikundi cha kigaidi cha Al-Shabaab kusini mwa Mogadishu, Somalia akihisiwa kuwa shushushu.
Mtanzania huyo alijiunga na kikundi cha wanamgambo wa Alshabaab mwaka 2013
Post a Comment