latest news

MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA




Mufti Issa Bin Shaaban Simba akiwa na Rais Kikwete.
 
KIONGOZI Mkuu wa Waislamu nchini Tanzania, Mufti Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia leo asubuhi akiwa Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.
Marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari pamoja na shinikizo la damu.
Taarifa zaidi kuhusu msiba huu zitawajia hivi punde.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN

Post a Comment

Post a Comment