international gossip

BAADA YA PSQUARE KUTENGANA POUl OKOYE AANDIKA WIMBO 'CALL HEAVEN'' AKIELEZA KAMA KUNA MTU PEPONI AMWAMBIE MAMA YAO KUWA WAMETENGANA

Paul Okoye has released a tearful snippet of his new track ”Call heaven”where he addresses his split with his brother Peter..
He says he wishes his parents were alive to intervene ..

Baada ya masaa 24 Jude ndugu yao kutangaza kuwa sio wamoja,Paul aliingia studio na kurecord wimbo aliouita Call Heaven akieleza kama kuna mtu peponi amwambie mama yao kuwa wametengana,ni wimbo wa 1:43 ila umeteka watu na kudownloadiwa kwa wingi kuliko wimbo wao wowote walio walio wai toa.mapacha P-square watengana,kisa ni mke wa Paul (Lola) inasemekana alikuwa hakubaliki na familia kisa alikuwa amemzidi umri Paul na alikuwa na watoto wawili tayari,suala hilo hata marehemu mama yao amekufa akiwa aliungi mkono pia  hata Peter na ndugu yao Jude,suala hilo limeendelea na kuwa kelo kwao.Kupelekea kuvunja Muungano(chanzo : naij.Com)@charzdangotetz

Part of the lyrics go…
Make somebody please call heaven,
make I tell my mama say e don happen
oh papa na that level
wey I promise you say e no go happen
If to say una dey for everything wey dey happen today
we no for misbehave
All man for the concentrate
Wherever you are
We no be who we are
coz if to say una dey
for everything wey dey happen today
E for be say una for intervene
cos right now everything na pain
see your children dey misbehave
See the fans all of them dey shame
(Tears)fade out

Post by @charzdangotetz

Intstall our website on Google play store @bongohotz

Post a Comment

Post a Comment