did you know?

Basi la simba mtoto lapata ajali janaa muheza tanga

Ajali mbaya ya barabarani imetokea mkoani Tanga  jana asubuhi  wakati Basi la Kampuni ya Simba Mtoto ya Tanga lilipogongana na Lori uso kwa uso katika eneo la Pangamlima Wilayani Korogwe mkoani humo.

Taarifa za awali kutoka eneo la tukieo zinaeleza kuwa watu 10 wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya katika ajali hiyo.

Post a Comment

Post a Comment